CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA LINDI MWAMBAO LTD

MATUKIO YAJAYO NA YALIYOPITA YA LINDI MWAMBAO.
Bei za Mazao
KOROSHO Bei ya Juu 2500 Bei ya Chini 1900 TZS/kg
MBAAZI Bei ya Juu 1500 Bei ya Chini 1000 TZS/kg
UFUTA Bei ya Juu 3500 Bei ya Chini 2500 TZS/kg
Uongozi wa Juu
Ismail M. Nalinga
Ismail M. Nalinga
Mwenyekiti
Nurdin S. Swallah
Nurdin S. Swallah
Meneja Mkuu
Habari na Matukio — Picha
Habari na Matukio
2026–2031 MPANGO MKAKATI

UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

Chama kimeandaa na kuidhinisha Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2026/27 hadi 2030/31) utakaoongoza shughuli na maendeleo ya Chama, ukiwa na vipaumbele tisa vitakavyotekelezwa kwa manufaa ya Wanachama na wakulima.

Matukio Muhimu ya Kihistoria

  • Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao (LMCU) Ltd kilianza shughuli zake tangu Oktoba 2014, chini ya Kamati ya Muda ya Uanzilishi.
  • Mkutano Mkuu wa kwanza wa Chama ulifanyika tarehe 27 Septemba 2017.
  • Chama kilipata usajili wake rasmi tarehe 19 Februari 2018 (Namba ya Usajili 5596).
  • Hadi Februari 2026, Chama kina jumla ya Wanachama (AMCOS) 61, kutoka Halmashauri za Kilwa, Lindi Manispaa na Mtama.

Habari za Karibuni

Tazama ukurasa wa Blogu / Habari kwa taarifa na picha za matukio ya karibuni ya Lindi Mwambao, ikiwemo ushiriki wa Chama katika Maonesho ya Nanenane.