TUAMBIE UNAVYOFIKIRI
Tunathamini maoni yako. Tujulishe mawazo, mapendekezo au malalamiko yako ili tuboreshe huduma zetu.
Tunathamini maoni yako. Tujulishe mawazo, mapendekezo au malalamiko yako ili tuboreshe huduma zetu.
"Tafadhali wekeni pia namba za simu za maafisa ushirika wa kata ili tuwasiliane nao moja kwa moja pale tunapohitaji msaada."
"Kupakua Mpango Mkakati wa LMCU kupitia ukurasa wa Machapisho kumekuwa rahisi sana, hatuhitaji tena kufika ofisini." — Mkulima - Kata ya Mtama
"Ningeomba muongeze pia bei za mazao mengine kama karanga na mbaazi kwa maeneo mengine ya Wilaya ya Lindi Vijijini."
"Nashukuru kwa taarifa za bei za korosho na ufuta zinazoonekana kwenye tovuti, zinatusaidia sisi wakulima kujua bei kabla ya kuuza mazao." — Mwanachama wa LMCU